@MickyJnr__ Even those 7 minutes wasnβt deserving but the team hardly defended until the end , how come referee added extra minutes while he was already alerted by others
This wasnβt fair at all
Nashauri hili litazamwe upya. Wakulima wanatoka vijiji vya mbali kuja mjini kununua mbolea, wanaambiwa wauzaji wamefungiwa kuuza, na huu ni msimu wa kuweka mbolea. Ni nini faida yake?? Hili tunaomba lifatilie Mamaangu na Rais wetu @SuluhuSamia.
@SuluhuSamia tumeona dhamira yako ktk kumuinua mkulima. Hakuna raisi aliyewahi kuwa na macho Kwa mkulima kuzidi wewe. Lakini Wizara ya kilimo haipo mikono salama mama. Hebu mama unda tume ifuatilie system ya uuzwaji wa mbolea bila kusahau Mradi wa BBT. Wadau haturidhishwi mama.
Leo Mama @SuluhuSamia , wakulima wanapata tabu kupata mbolea na wengine hawapati kabisa kwasababu ya mfumo mgumo ulosababishwa na wizara yenyewe. Leo wamefungia wauza mbolea wote wakubwa kwasababu ya makosa yao.inamaana wakulima watapata wapi mbolea mama?
Siku walimu wetu wakiacha au wakisusa kushughulikia tabia za watoto wetu mashuleni kisha wakabaki na lengo mama la kufundisha pekee kuhofia kuitwa wakatili, bhasi utamaduni na maadili ya mtanzania yataendea ukingoni. Tutegemee kizazi cha nyoka mbele yetu.
Kumsimamisha kazi huyo Mwalimu kupitia video tu bila kufuata utaratibu wa kisheria si haki. Walimu wanapitia magumu sana kwenye ulezi wa watoto wetu. Adhabu ni ya kawaida sana ukilinganisha na tulizopewa miaka ya nyuma. Adhabu ni haki ya kimalezi si ukatili.
Hizi report natumani huandiliwa ktk mfumo wa soft copy kabla hazija printiwa. Ina maana mawaziri hawana hata vishikwambi kwaajili ya kuwasilishia ripoti na taarifa badala ya makatarasi kama hivi??
Si zanzibar tu, bali hata Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Marekani na mataifa mengine makubwa duniani. Historia halisi ya Wazalendo walopigania uhuru wa nchi hufichwa na usaliti hushika hatamu. #mapinduziday
Natenganisha Tanzania na Zanzibar kwasababu mnamo January 9-2005 Zanzibar ilianzisha bendera mpya tofauti ile ya muungano ya 27 April 1964. Hivyo wakakataa kujiita Tanzania visiwani na kubaki na uhalisia wa jina la #zanzibar
Zanzibar ni miongoni Kwa mataifa madogo makongwe duniani, Ukubwa wa Zanzibar unafichwa na Msumari wa furaha na chuki Kwa nembo ya muungano. Huwenda Zanzibar ni maarufu duniani kuliko Tanzania. Na huwenda Zanzibar inanufaika zaidi na muungano kiuchumi kuliko Tanzania.
Ni siku ya damu iliyojawa maumivu, shauku na hamu ya kweli juu ya uhuru wa wazanzibari. Ni kitovu cha uhalali na uhalisia wa uzalendo wa wazanzibari kuliko nchi nyengine yeyote Afrika ya mashariki.
#mapinduziday
Vodacom inaongoza kwa internet Speed Tz.
Download speed ni 17.08Mb/sc ikifuatiwa na Airtel 12.89Mb/sc
Upload speed ni 9.02Mb/sc, airtel ni 8.62Mb/sc. Voda ni wa 16 na airtel ni wa 18 Kwa ukanda SADC.
MTN na Vodacom South Africa wanaongoza kwa Download speed 65.95 na 48.71Mb/sc
Waziri Mwigulu amekuwa kishekesho kushindwa kufafanua neno TRAB na neno TRAT kwa lugha ya kiswahili. Lakini hata hivyo vijana wengi wasomi bado hawajajua nini TRAB na TRAT hadi sasa, Wakidhani waziri alikuwa anafanya Siasa tu. Wapi tunaenda vijana??
Tanzania imetenga wilaya 18 kwaajili ya kuzalisha mbegu bora; Butiama, musoma, Sumbawanga,kalambo, Nkasi, Nsimbo, mlele, Mpanda, Simanjiro, Serengeti, kiteto, Namtumbo, Madaba, Songea, Mbozi, Momba, Mpimbwe na Uvinza. sawa na Jumla ya hekta 17,610.