@MchinjitaIR@MariaSTsehai@ACTwazalendo Maria na Chama chake wanataka kujifanya viranja wa vyama vingine,wakishakaa katika vikao vyao vya mtandaoni basi uamuzi wanaofanya wanataka watanzania wote waufuate ni wajinga Sana hawa
@salim_alkhasas Ni Mtu mjinga pekee anaweza kuamini kuwa kupata Siri za Chadema ni mpaka ACT wawepo,Siri za Chadema kama zipo zinapatikana Kwa njia yoyote na wao ndiyo watoaji,rejea maisha ya Makene miaka yote ndani ya Chama hicho je aliwahi dhaniwa kuwa ndiyo?
@Ntobi_@mwigulunchemba1 Matangazo ya BOT ilishaeleza juu mabadiliko hayo si Saini ya Mwigulu tu hata ya Gavana na ni utaratibu wa kawaida kulingana na muda na mahitaji ya wakati
@ItsKamala Katika nchi ambayo siku ya kuzaliwa Kwa Rais inasherehekewa Kwa siku mbili na mainfluence wetu,haya mambo magumu na ya msingi unadhani wanaweza kuyahifadhi kichwani mwao na kuyafafanua zaidi ya kusema mama kaupiga mwingi?
@halimamdee Nilichoona wengi wanaojadili suala la kina @halimamdee wamejielekeza kwenye wivu wa wao kupata pesa ngoja niwaambie ukweli uongozi mzima wa chama ulibariki watu hao kwenda bungeni na ndiyo maana leo hii walichukua ruzuku na kununua jemgo
@EduTalkTz Wale waliodhani kuondoka Kwa Zitto kutatoa nafasi kwao ndiyo Leo wanapitia mapito yake yale aliyopita Mwami Miaka 10 iliyopita nawashauri wapambane wakishindwa wakajiunge ACT kwenye dhamira njema ya kuiondoa CCM madarakani na Kwa hoja
@EduTalkTz Matarajio yao Zitto aende CCM ili wahalalishe udhalimu wao na Mungu si Athumani Zitto hakwenda CCM akaanza Moja na Leo ni kinara baada ya miaka 10
@EduTalkTz Kwa kuwa Mbowe hakutaka kuachaia madaraka na Kwa kuwa wengine walihofia uimara wa Zitto ndani ya Chama
Wakaamua kuungana na na kumzushia Uhaini na kila jina baya ili achafuke
@EduTalkTz Wakati ule mwanasiasa aliyeonekana dhahiri kuvaa viatu vya Uenyekiti ikiwa Mbowe ataacha au ataruhusu Ushindani wa haki kwenye Uchaguzi ndani ya Chama ni Zitto Kabwe,
Tamisemi haina Nina ya dhati ya kuhakikisha watanzania wanachagua viongozi wawatakao
Chini ni barua mbili za Tamisemi zinazokinzana juu ya mgombea mmoja na sababu ya kumuamdoa ikitajwa
Ameahidi akipata nafasi ya uongozi atakuwa mkombozi wa kizazi kijacho wa Kijiji hicho,kuhusu namna ya kufika katika maeneo ya kampeni ameeleza kama wananchi walivyombeba wakati wa kusoma pia watambeba wakati huu wa kampeni kwenda kuwaga sera yake ili achaguliwe