@SuluhuSamia Ahasante sana Rais wetu pendwa wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania hakika tunajivunia wewe na karibu timu inayoeshimisha Taifa ndani ya Afica na Dunia mzima
KIJANA MCHAPAKAZI
.Uongozi bora
.Maendeleo endelevu
.Umoja na mshikamano
.Huduma kwa wote
CHIKULUPI KASAKA #CHIKULUPI_KASAKA
Mgombea Ubunge wa Afirika Mashariki. Kijana mchapakazi sauti ya mwananchi nguvu ya maendeleo.
@bunge_tz@ccm_tanzania@ikulumawasliano@Chikulupi3
💢Huduma mzuri za uhakika za Printing na Embroidery.
💢Tunadarizi(Embroidery ) kwa ubora na umakini wa hali ya juu na bei nafuu kuwahi kutokea hapa Tanzania.
💢T-shirt yenye logo moja tsh 12,000
💢kofia yenye logo moja tsh 9,500
piga simu/WhatsApp 0715269434
Kwa mahitaji ya sare mbalimbali za chama na taasisi zinapatikana kwetu na t-shirt plain,cap, pia zipo quality na bora karibu BASWAUM TRADE tukuhudumie hautajutia.
Whatsapp no 0715269434
Kinafunguliwa rasmi rasmi tarehe 20 Septemba 2023. Ni kiwanda cha kutengeneza vioo (float glass) kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani. Ni uwekezaji wa zaidi ya dola milioni 300 na ni kiwanda cha nne kwa ukubwa barani Afrika. Ajira zaidi ya 1600! Kazi inaendelea!
Hakika alesema msemo wa Elimu Haina mwisho aende peponi. Tunawashukulu wote wanao washika mkono vijana kwa namna Moja ame ingine na wakati ndio sasa vijana bado hatujachelewa muda ndio sasa @tayobeco @Adinani_
Orodha ya usajili mpya 2023/24 imefika katika kitengo cha habari na mawasiliano.
Pakua Simba App, lipia alafu subiri sajili za moto kuja kuimarisha kikosi cha Mnyama 🦁 #NguvuMoja
@ZMihumo Kataa wahuni Kuna vijana wachache mno wanao fanya haya mambo ila piga kazi Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan piga kazi vijana wako tuko pamoja nawe na tunasema SSH mitano tena