#Tujikumbushe Aprili 28, 2020: Joseph Selasini ahama Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi. Kisa? Aliondolewa kwenye grupu la Whatsapp la Chadema.
#DutyToKeepTheReceipts 🧾
@Mwabuk2Boniface Imani yangu kwa jeshi la polisi Tanzania haipo kabisa na wala hata hawastahili kutajwa kama chombo cha kutafuta haki za walipokwa. Kwa kifupi ni hamna kitu kabisa mpaka pale watanganyika wote kwa sauti moja bila kujali vyama, dini, kabila, na kila kitu tuseme basiiiii imetosha.
POLE NDUGU ZANGU CHADEMA.
Natoa Pole Binafsi kwa Ndugu na Rafiki yangu Kamanda John Heche ,kwa Wanachadema wote na Familia kwa kifo hiki cha Mpendwa wetu Suez Daniel.
Mungu aliyemhoji Kaini kuhusu damu ya Abel asinyamaze kuhusu tukio hili.
Ni imani yangu kwamba Jeshi la Polisi litawajibika kuhakikisha ksma kuna dhulma basi aliyehusika na dhuluma hii anachukuliwa hatua za kisheria.
Tutapitishwa tena na tena kwenye uvuli wa Mauti kabla ya kuufikia Ukombozi kamili.
Pumzika kwa Amani Kamanda.
BAK MWABUKUSI.