Kuishi keja haina lift huwa tricky saa zingine
Unafika 2nd floor ushachoka by the time unafika 3rd floor ushakasirika ๐๐๐
Na labda saizo unaenda mbaka 4th/5th floor
Unafika kejani umejam Ukisema vile utahama ๐
@zigi_zogo@MatwanaCulture ๐๐๐๐๐anajua ni vile iyo si relevant in this case
Point yake tu ni Season 2 ya gari Enye itaendeleza legacy ya Mamba Sn 1
I just witnessed awa mapastor wa mat akipreach kutoka Doni kufika Stadi akamaliza Na akachukua sadaka
Kidogo tuko apo Stadi anapigiwa anasema ashafika tao ati ni gari anachukua ๐๐๐ kwani hii ni bale ingine tena bana ๐๐คฆโโ๏ธ