@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Ili jambo nilikua nalisema for years, yani kwenda tu jkt mnagombania kama ajira alafu mkisha maliza bado mnaenda kugombania ajira π€¦π€¦ Tanzania.. nilipokua na 19-22 years nilikua na kiu sana ya kwenda kjt lakini nilikua chuo.. nimemaliza chuo nna 24 alafu jkt wanataka vijana π€¦π€¦
@kaji_sijo Putin anapenda sana kiongozi ambae ababishwi kama yeye, alishasema waafrika acheni kuwekeza ulaya alafu mnazikwa afrika. Kwaiyo akiona mtu kama traole anafurahi sana.
Bunge la Ulaya linatarajiwa kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei 2025 kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Mjadala huu utafanyika mjini Strasbourg, Ufaransa, na utaangazia hali ya haki za binadamu, uhuru wa kisiasa, na demokrasia nchini Tanzania.
#Updates#Habari
YANGA YAKATAA UAMUZI WA CAS, YATANGAZA KUTOICHEZA MECHI YA LIGI
Young Africans SC wamepokea majibu kutoka Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi yao dhidi ya Simba SC, wakitaka pointi 3 baada ya mechi ya Machi 8, 2025 kuahirishwa.
Kupitia taarifa rasmi ya Mei 5, 2025, Yanga wametangaza kutoshiriki mechi namba 184 ya Ligi Kuu, wakisisitiza hawatapeleka shauri hilo tena kwenye mamlaka wanazoamini hazitendi haki.