Elections come and go, but our unity remains. 🇹🇿
Watch this video, listen to Senzo, and let’s remind ourselves that Tanzania is bigger than politics.
👉 Share this video and tag a leader you know—let’s stand together for peace and development. ✊https://t.co/G9Pss5tv12
🇹🇿 Amani Kwanza
Uchaguzi utapita, lakini mshikamano wetu ubaki.
Share na tag kiongozi wowote unayemfahamu – tuimarishe amani ya Tanzania.
🎶 Senzo – Who gonna care for you and I
#AmaniKwanza#TanzaniaMoja
https://t.co/6bx9pme72g
@swahilitimes Wewe kushinda uchaguzi sio jukumu la Mungu ni lakwako. Mungu akishakujalia uzima hadi siku ya kupiga kura anakuwa kashafanya jukumu lake wewe ndio ujipime uhai aliokupa umeutumiaje.
@rollymsouth Ku Aw EUmsaidia mtoto kufanya homework sio kosa kosa ni aina ya msaada inaompatia. Usimpatie majibu bali msaidie ajishuhulishe na kufikiri vyema kufikia kipata jibu.
@HusseinBashe@SuluhuSamia Msimu wa mwaka juzi wa kilimo tulio vuna mwaka jana nililima mahindi kwa garama kubwa bei zikawa tofauti na gharama za uzalishaji.
Msimu wa maka huu ulioanza mwaka jana nimeshindwa kulima kutokana na hasara. Je huo usaidizi wa mitaji upo vipi?