Ndugu Nassor Ahmed Mazrui (N/Katibu mkuu @ACTwazalendo ametekwa na Vikosi vya #SMZ maeneo ya Saateni karibu na kambi ya JKU, alipokuwa anaelekea Kikaoni Ofisini VUGA.
Ni AMANI ipi inayohubiriwa hapa Nchini?@tanpol
"Nikiwa Rais wa Zanzibar nitaijenga bandari ya kisasa zanzibar,kama serikali ya Muungano wakikubali au wakikataa mm sijali, nasema nitajenga ni haki yetu".
@SeifSharifHamad
"Dini zote Duniani zinahimiza HAKI na UADILIFU, ukishakuwa na HAKI na UADILIFU, basi AMANI inakuja yenyewe"
@SeifSharifHamad (Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT - WAZALENDO)
“Zanzibar haitaki kusaidiwa, Zanzibar inataka iendeshe uchumi wake yenyewe. Zanzibar haipaswi kusaidiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inapaswa kupewa Haki yake. Shelisheli ni Nchi ya Kisiwa kama Zanzibar, Ina watu 80,000 tu, wanasaidiwa na Nani?”
@zittokabwe
UHUNI #ZEC
Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Zanzibar #ZEC yaendeleza UHUNI wao kwa kutobandika Jina la Ndugu Nassor Ali Amour, mgombea halali Jimbo la Chumbuni - UWAKILISHI, na ndie alietueliwa na Chama, badala yake #ZEC wamembandika
Khamis Jabu Mohammed ambae si mwana ACT WAZALENDO
Kesho siku ya Jumapili tarehe 30/08/2020, Ndugu @SeifSharifHamad atakwenda kuchukua Fomu ya kugombea Urais kwenye Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), saa 3:00 Asubuh.
Wanachama wote na wananchi kiujumla Tukutane Vuga Ofisi Kuu ya ACT WAZALENDO.
Linalopaswa kuelezwa sasa ni kwa nini matukio ya Utekaji kwa Wagombea wa ACT - WAZALENDO katika jimbo la Ruangwa, analotoka Ndugu Kassim Majaaliwa, bado yamekuwa yakiendelea pasi na @tanpol kutoa Taarifa zozote juu ya matukio hayo ya kiharamia?
Haya ndio Wananchi wanataka kuyajua
Ndugu Haji Dude Haji, mteule nafasi ya Ubunge Jimbo la Magomeni kupitia Chama cha ACT - WAZALENDO, akionesha Fomu ya Uteuzi mara baada ya kukabidhiwa na Afisa wa Tume ya Uchaguzi iliopo Maisara - Zanzibar.
Makabidhiano hayo yalifanyika leo tarehe 20/08/2020.
#TheFutureIsPurple
Kesho tarehe 16 Agosti 2020, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu atazungumza na waandishi wa habari.
Mada:Maamuzi ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo
Muda:Saa 6.00 Mchana.
Eneo:Ofisi ya Chama Magomeni, Dar es salaam
Janeth Joel Rithe, N/Katibu wa Habari, Uenezi.
UZI JUU YA ILANI YA ACT 2020 MAMBO MUHIMU KWETU VIJANA FUATILIA
1. Elimu ya Juu: Kufuta mikopo yote ya miaka ya nyuma iliyotolewa kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu na kuanza kutekeleza Mfumo mpya wa kugharamia Elimu ya Juu.
#IlaniACT2020#IlaniACT2020@zittokabwe