@TBoundBuses Ukweli mtupu.Kama natoka dar au mkoa wowote tayari natumia stendi ya umma na nalipa 300 kama ada .unafika dodoma saa 5 usiku na unaambiwa mwisho ni nanenanenna wewe unaishi mkonze au maili mbili.unajikuta unatumia gharama karibu sawa na hiyo nauli uliyolipia
@tuntemeke1 @1960Remija Bajuunga mkono brother.sote tunajua kwqmba mtu anaweza hata kubadili dini kirahisi lakini kwa upenzi ww hizi timu mbili ni mtihani.Jambo dogo nje ya makubaliano mliyofikia baada ya pre match meeting tena bila sababu ya msingi yanaweza leta maafa.
@geoffiejeff Authotities huwa zinafanya kazi kwa maandishi.Tunaomba utupie hayo maandishi hunu ili hili suala liwe wazi.Mamikioni ya pesa na muda wa watu yamepotea just like that Niwashukuru sana Watanzania kwa utulivu wao hasa waliokwenda mpirani.Mwenyezi atawalipia
Watu wanaongea sana kwamba jana tulipaswa kucomply na uvunjaji wa kanuni tuliyojiwekea wenyewe.Napata mashaka kama Taifa tutakuja kutoboa mbeleni kama unajiwrke taratibu fulan halafu bila sababu ya msingi unaivunja na wengi wanajitokeza na kusema jambo hilo ni sawa
@shabiby_line Kumbe hozi zinazokwenda mpaka saa kumi hii ni trip za introduction! Niijaribu kubook online nikaona gari zimejaa kuja nanenane naona vitu vipya vinapakia.muwe mnatangaza basi hata hiku twitter republic
@shabiby_line Shabiby ni basi langu lakini mnafeli kwa ruti ya Dar -Dom kwenye suala ka sehemu ya chekula.chunguzeni kwann Shabiby hamna sana abiria watoto? Mtu akiwa na watoto anaopt basi lilee la mchaga wa Arusha.sababu kubwa ni mahala pa kula