@bob_mchelsea Namuamini Alonso, ni mtu wa mpira, Stone aje alete calmness na leadership in the dressing room angalau for a year,like Granit Xhaka akiwa Liverkusen. Na Stone bado ana kitu cha ku offer sema ni pancha tu
@bwaya@thomasjkibwana Niliwaza sana pia why kitivo cha brain za nchi kinashindwa ku-manage hichi kitu mpaka wizara ifanye intervention?
Waziri ka-intervene why iwe habari?na kama ni wizara yake why haikutajwa wizara katajwa mtu na picha.
@bwaya mshanuzi tusaidie
@EliabuDanford@Fikra_pevu Jengo lao jipya la Bunge ni msaada wa China 100%,unategemea maamuzi yanatoka ndani ya hilo Bunge yatakuaje?Must follow the nature of the donor country.
@George_Ambangil@LifeofFahaD Ni mchezaji mzuri lakini hiyo hela ni kubwa,sio thamani halisi.Shida ya Man U imekosa mipango ya muda mrefu kuscout hawa wachezaji mapema kabla hawaja price up.
Sasa Carick mmeconfirm mwisho wa msimu,huyu mchezaji mlianza mtaka lini?
@bwaya@MarekaMalili Kaka baada ya miaka mingi sana leo nimeelewa graphs,nilikua sizielewagi kumbe zikiongelea mapenzi ni rahisi🤭.
Asante kwa shule kaka🙏
@TriciaAbou@MontanaOcto Hawa si wana Callager na Palihna na kuna dogo wa academy pale?Sasa tonali na Fernandes wote tena?au anataka asikose angalau mmoja?
@EliabuDanford Najiuliza wapi hii technology Ukraine kapata?nani ana fund wakati big lady US kakata funding?Sustainability ya Ukraine ya rusha nikurushie anayo?All these remain to be seen.
@Tanganyikan dialysis sio matibabu ni njia ya kubuy time upate figo kama hamna option ya kupata au kubadilishiwa figo.Uwe ndugu au mzazi wangu,sitachangia hii huduma. For me,it make no sense kuchangia mtu ninaejua he/she cant make it.
@TriciaAbou Akaenda Atletico aka-flop,halafu hii thamani yake ilikua inflated sana ndio kipindi kile cha bei za kina Neymer, Cotinho.Alikua mzuri but not for that price