Tunawaomba wananchi wenye nia njema kutusaidia kumtambua mtu aliyevamia na kuiba katika duka la nyumba ya mitumba lililopo Sinza.
Endapo utamtambua au kuwa na taarifa zozote zitakazosaidia kumfahamu mhusika huyo, tafadhali wasiliana nasi kwa siri kupitia namba +255 68 110 1061
Je Unajua Mabadiliko Ya Sheria Ya Za Kodi Yaliyofanywa kwenye Sheria Ya Fedha ya Mwaka 25/26 ? Njoo Ujifunze Nasi, Kuhusu Utaratibu Wasiliana Nasi Kwa Namba Zilizopo Hapo.
Salim Kilele kabla hajaanza mambo ya kugombea alisema kwamba yeye kuzaliwa Mbeya.
Leo anasema yeye kazaliwa Moshi Vijijini au anawaona watu Moshi Vijini washamba sana.?