@barakawamb@godbless_lema Hiki ni kichekesho ndugu umeamua kuleta! Uongozi upi uliopoteza hayo yote ikiwa Uongozi mpya wa Chama hauna hata nusu mwaka madarakani tayari unakosoa kuwa umepoteza dira, ushawishi na takataka zingine ulizonena???
@Manka_Komu@MwanzoTv Either unafahamu au hufahamu madhara ya nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa na mshirika wa hizi regional blocks. Kuna conventions kibao zinazolinda haki za binadamu na nchi yeyote ikiviolate lazima iadhibiwe. Tukae kimya tusubiri resolutions. Msifikiri misaada inakuja tu!!
@ummymwalimu Nimekuona Bosslady, people's leader @ummymwalimu. Japo katika picha ya kwanza kama unamawazo!! Anyways, hongera sana kwa ujenzi na leadership ktk development initiatives Jimboni kwako.