Tukielekea #D9 tutoke tukiwa tumejiandaa
Kuna mambo tumejifunza
👉🏽 Polisi ni kama magaidi hawana msaada kwetu ❌ wanafyatua risadi hovyo
👉🏽 Risasi ikikupata au mtu karibu yako jaribu kujiburuta au kumburuta mhusika sehemu salama - msije mkaishia wote kudhurika
👉🏽 Hifadhi hiki kipeperushi na tafuta mtu aliyepitia mafunzo ya awali ya first aid akupe maelezo na kukuonyesha namna ya kutengeneza kifungo cha dharura ili damu isipotee! 👇🏾
Sambaza hiki kipeperushi hakuna kukaa kinyonge 💪🏽🇹🇿
#SamiaMustGo #D9
@TheRuthless0@PMadeleka Ndio ni big deal maana umekuwa consecutive sasa.
Kwanini hafuti sherehe za Mapinduzi kule Zanzibar kama kweli yeye ni Rais mwenye mamlaka kamili ktk Muungano??
Endeleeni tu kukenua meno kila mnapoambiwa hakutakuwa na sherehe za kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika.
Ipo siku mtakuja kujikuta mpo chini ya utawala wa SMZ na hamna kitu chochote mtafanya.
Endeleeni tu kumchekea huyu bibi yenu.
Historia ya Tanganyika inafutwa,.mnakenua meno tu