WATANZANIA TUNAPENDA KUTAPELIWA SISI!! 😂
Mie na umbea wangu nikaangalia mchango wa gari la Upendo Nkone mbona haustopishwi kwasababu, mchangishaji alisema atleast apate Alphad!
Juzi, alisema ana 26 Million na Mchungaji mmoja kaongeza 10 na Mhe. Makonda 10 jumla tuache mbali za michango ya jana ya mmoja mmoja na leo ni 46M ila bado anaendelea.
Watanzania watanzania, 😂 😂 😂 46M kwanini mchango haukomi na tunaambiwa anaweka na sherehe sasa ndio aina mpya ya kujichotea 😂.