*HAPPY TEACHERS' DAY*
Tuendelee kuchapa kazi huku tukilenga kuwapa watoto wetu maarifa na ujuzi ili waweze kukabiliana na kuweza kutatua changamoto mbalimbali kwenye jamii zetu.
#NewProfilePic
IFAHAMU HUSDA NA MADHARA YAKE KWAKO NA KWA WANAOKUZUNGUKA - Sheikh Nahman Mussa
Mahaasin Tv (Azam Decorder ch 455), Mahaasin Tv Short Clips (Youtube), Mahaasin Tv (Instagram), Mahaasin Tv (facebook), Mahaasin Tv (Telegram), Mahaasin Tv (tiktok), Mahaasin Tv Live (Playstore App)
Usisubiri ufanyiwe matendo mema baada ya kufa kwako, Fanya mwenyewe kwani hujui baada ya kuondoka kwako nan atakukumbuka kwa wema
Mahaasin Tv (Azam ch 455), Mahaasin Tv Short Clips (Youtube), Mahaasin Tv (Instagram), Mahaasin Tv (facebook), Mahaasin Tv (tiktok)
#Islam#نصيحه_
Unaweza kupoteza kitu katika maisha yako ukajilaumu ama kusikitika, kumbe kupoteza hicho kitu kunaweza kubadili mfumo wako wa maisha na kupata kilicho bora zaidi.
TUSIIPOTEZE FURSA YA KUTUBU KWA ALLAH ﷻ, MLANGO WAKE NI MPANA NA HAUFUNGWI
YAA RABB, HAKIKA SISI NI WAKOSAJI TUSAMEHE
Mahaasin Tv (Azam ch. 455), Mahaasin Tv Short Clips (Youtube), Mahaasin Tv (Instagram), Mahaasin Tv (facebook), Mahaasin Tv (Telegram), Mahaasin Tv (tiktok)
Usiyumbe katika kumtii ALLAH ﷻ kwani ndicho Mtume ﷺ alichokieleza katika moja ya mafanikio ya Muumini - Sheikh AbdulBaswit Othman
Mahaasin Tv (Azam Decorder ch. 455), Mahaasin Tv Short Clips (Youtube), Mahaasin Tv (Instagram), Mahaasin Tv (facebook), Mahaasin Tv (tiktok)