MALENGA;Kitabu ,LADHA YA ANGANI na mwandishi mwenza,kitabu,BITTER TRUTH AND THE THUNDERSTORM,pia mwandishi wa riwaya ya BILA HURUMA.Mwanasheria, mwanaharakati.
Nakala:10,000
0744187343
SURA YA KWANZA
Ngo! Ngo! Ngo! Sauti ya mlango ilimshtua Subira aliyekuwa katika wimbi la usingizi, mara sauti kali ya Mama Rama ikazidi kumchanganya, “we mwanaharamu mkosa sura unalala hadi mchana huu” Subira alifungua mlango huku akipiga miayo👇👇
*Watu wenye nafasi wanatumia nafasi zao kufanya unyanyasaiji dhidi ya binti(walimu,waganga na viongozi wa dini)
*Mama wa kambo anageuka kilio kwa mtoto
*Watu wanafuga walemavu na wanawageuza ombaomba mjini.
Upo uozo mwingi katika Bila Huruma
@Dr_DGwajima@RebecaGyumi
Tuna maisha mazuri, magari mazuri, nyumba nzuri na wapenzi wazuri katika fikra zetu. Hii haiji kirahisi bali kwa jasho na kujitoa.
@omari_manyama@JiniKinyonga
Ukijitoa kwa mtu asiekupenda unafanya kazi bure. Utapambana kutatua shida zake ila hata kuwa na shukurani. Muda mwingine jiangalie sana upande wako, sio unampa mtu elfu hamsini halafu wewe huna hata hela ya kula. Au unawasumbua watu kuwaomba hela kwaajili ya mtu.
@omari_manyama
Ni dhumuni la kila mmoja kupiga vita ukatili. Chondechonde wazazi/walezi na jamii tuwalinde watoto dhidi ya ukatili.
Tupige vita ukatili dhidi ya binti
BILA HURUMA NININI?
#Uzi
Bila Huruma ni riwaya inayoakisi unyanyasaji dhidi ya binti. Kuanzia kwenye familia hadi jamii. Jinsi watu wenye nafasi kama walimu na madaktari wanavyofanya ukatili wa kingono, ukatili wa vipigo...
@omari_manyama @ReganTesha_ @masoudkipanya@JiniKinyonga
Riwaya hii imechambua kwa undani dhidi ya ukatili huu, na jinsi ya kuutatua. Vipo vitendo vya kinyama kama uuzaji wa walemavu(watoto) na kuwageuza ombaomba mjini. Vipo vitendo vya wazazi kuwauza watoto kwa matajiri kingono ili kujipatia kipato. Hakika jamii inatoa harufu mbaya
“.... Muda mwingine mtu una nia ya kupambana, tena nia ya dhati, lakini tatizo nikwamba huna chakupambana nacho. Hapa unajikuta unapambana na msongo wa mawazo na kujichukia. Unatamani hata kujiua au kwenda kuishi mbali. Mafanikio yapo karibu, usikubali hali hii.."
@omari_manyama
Hakuna faida ya zinaa tunaweza kuona tunawakomoa wanawake, au tukijiona vidume tukiwa na washikaji “yule demu nimepita" lakini huko zinaani tunapata magonjwa, mikosi na tunapoteza fedha nyingi. Ni bora muda ukifika ukaoa na kuishi na mmoja. @omari_manyama@Winstonbarnabas
“.....Uhai ni muhimu sana. Ndio tunapambana kwa shida, ila tusisahau kujali afya zetu. Tukumbuke kula vizuri na pindi tunaposumbuliwa na maradhi kwenda kumuona daktari. Tukumbuke mapambano yote matunda yake si kitu bila uhai.. "
#KITABUCHASIRI
PETER ADOLFU SHAYO
Pia iwe fundisho kuwa tuendelee kupambana na kuepuka kuandika mambo mabaya mitandaoni. Huwezi jua lini na nani atakuona. Maandiko yako yaweza kubadili maisha yako
WATU WENGI WANAKUTAZAMA
#UZI
Kila jambo unaloandika mtandaoni wapo wengi wanatazama bila wewe kujua. Ikiwa waandika mambo ya hovyo ipo siku yaweza kukuletea shida. ila mazuri yaweza kubadilisha maisha yako.
Uzi wangu wa “Hakuna Ndoto isiyotimia ulibadili maisha yangu sana 👉
Nilijisikia faraja sana kuungwa mkono na mtu wa kariba yake, hakika ni thamani ya pekee sana kutafutwa na Senior Advocate ambaye aliunga mkono kipaji changu na kunipa nafasi ya kuendeleza taaluma yangu. Imebidi tu niandike haya iwe kumbukumbu vizazi na vizazi 👉