Tuvaeni vizuri Dunia haijawahi kuwa na shukrani, pendeza,kula vizuri, nukia then cheza sana mziki mzuri as if there is no tomorrow.
Kazi kwenu wananzengoโฆ!
Hakuna faida ya zinaa tunaweza kuona tunawakomoa wanawake, au tukijiona vidume tukiwa na washikaji โyule demu nimepita" lakini huko zinaani tunapata magonjwa, mikosi na tunapoteza fedha nyingi. Ni bora muda ukifika ukaoa na kuishi na mmoja. @omari_manyama@Winstonbarnabas
NAWAZA KWA SAUTI
UZI๐๐๐
@omari_manyama@Winstonbarnabas@robertsylivesta
@ReganTesha_
Yapo maswali mengi yananifanya niwaze kwa sauti,lakini pamoja na kuwaza kwa sauti bado sauti yangu haisikiki...... kuna nini?, Kwanini
๐
Spread love everywhere you go. Let no one ever come to you without leaving happier. -Mother Teresa @ Saanane Island National Park https://t.co/ZTWQqpVGdu
Nakala:10,000
0744187343
SURA YA KWANZA
Ngo! Ngo! Ngo! Sauti ya mlango ilimshtua Subira aliyekuwa katika wimbi la usingizi, mara sauti kali ya Mama Rama ikazidi kumchanganya, โwe mwanaharamu mkosa sura unalala hadi mchana huuโ Subira alifungua mlango huku akipiga miayo๐๐
Ukimpenda mtu hakikisha unamuachia alama isiyofutika,kama sio moyoni basi hata mwilini,moyoni mfanyie jambo zuri ambalo hatalisahau,ila mwilini hata mng'ate abaki na kovu
Utakuja kunishukuru
@omari_manyama@AdolfuPeter