One day I will shake hand with His Excellency Dr. John Joseph Pombe Magufuli-The President of the United Republic of Tanzania.
Few if not many of us understand his vision to the Tanzanians!
There are two things you are in total control: your ‘attitude’ and your ‘efforts’....Kuna vitu viwili ambayo unaweza kuvitawala: ‘Tabia’ yako na ‘Juhudi’ zako
Leo Agosti 09,2020 Nikiwa Kwenye Muendelezo wa Kufanya Mazoezi ya kutembea masafa ya Kilomita nne yaliyoanzia kwenye Makaazi mtaa wa Farahani Kilimani jijini Dodoma Ambapo Nasisitiza kwa Watanzania Wenzangu kutokuacha kufanya mazoezi kwani mazoezi ni muhimu kwa Afya.
Mheshimiwa Halima, you always tweet negatively! This reflects that you are always negative. I wish to advise you to be moderate! Sometimes be positive in your tweets! Passive interviewers think that you have ill minds which might not be the case.
Wakili @pkibatala akiwa na WATEJA wake...katika kesi za KIZUSHI @halimamdee na @esteramosbulaya na Makamu Bavicha Taifa @Captain255_ Tukiwa na BOSI wetu wa MKOA wa Kinondoni (Chama) @HenryKilewo ✊✊✊✊# KAZI NA Bataaaaaa.......wenye CHUKI wajinyonge.
Welcome back KLM.
Tanzania is safe and blessed. Come one, come all and ENJOY YOUR STAY IN THE LAND OF KILIMANJARO, SERENGETI AND ZANZIBAR.
#TanzaniaUnforgettable
Asante sana Mheshimiwa Rais kwa kumtakia kila la heri Ras wa Malawi kwa niaba ya Watanzania wote. Ila kilichofurahisha zaidi na Tanzania kutangazwa rasmi kuingia uchumi wa kati. Kwa kweli unastahili hizo pongezi, ulidhamiria na umetekeleza. Wewe ni nabii umeletwa na Mungu.
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema hususani katika masuala ya uchumi na ustawi wa jamii.
Hongera sana Mhe. Rais.
Hongera sana Mheshimiwa, kwa kweli wewe Mama unachapa kazi, you are really committed. Wizara hiyo unaitendea haki! Hongera sana and May Allah bless you abundantly!
Leo nimezindua klinic ya Methodone kwa ajili ya kutoa huduma kwa watumiaji wa Dawa za Kulevya. Mkoa wa Tanga unakadiriwa kuwa na waathirika wa dawa za kulevya aina ya Heroine 5,190. Hapa tutaokoa nguvukazi ya Taifa na pia kupunguza maambukizi ya VVU miongoni mwa vijana.
Very good! When observing the photos, one of the photos shows the ambassador with notebook clearly showing that he is jotting something for follow up, Our Honorable Dr. Kigwangalla has no notebook! The implication here is that you went there for show up. Be serious!
Had a very good meeting with Ag. Ambassador of Sweden to Tanzania, Mr. Ulf Källstig regarding opening of tourism activities in Tanzania in the wake of the COVID-19 pandemic and the health and safety protocols we have implemented to ensure safety of tourists and service providers.
Nikiendelea na Ziara Ya Chama Leo Hii Juni 23,2020 Wilaya Ya Temeke Jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke.
Hatimaye LEO NIMEKAMILISHA safari nyingine ya MIAKA 5 ya UTUMISHI, nikiwakilisha JIMBO la KAWE kwenye BUNGE la J/ Muungano wa Tanzania. Asante sana WANANCHI wa KAWE kwa HESHIMA hii KUBWA, ASANTE sana CHADEMA kwa kuniamini, Asanteni sana WATANZANIA wenzangu!! Tunasonga 😍😍✊🏿✊🏿.