@Tweener003 Kyombo alikua mchezaji mzuri sana kipaji chake kilipotea baada ya kukaa majeruhi muda mrefu wakati yupo Mamelod kuna watu awajui kuia Habibu Kyombo aliwahi kusajliwa Mamelod Sundowns ila hakupata muda wakucheza kwa jili ya majerahaa yalio muweka nje kwa miezi 19
@Lotokordwakii@newton_urban@ayubu_madenge Trump alimpa Iran siku 15 tukajua masihara kamshambulia kabla izo siku 15 azijafika uyo kiduku kila siku Anasazi ya kuonyesha sirahaa tu nae amtafute mtu ampige tuone