@TriciaAbou@ibrahimjuma48 Yupo sawa japo kuna condition lakini Kutokuwepo kwa mawalii wa juu: Ikiwa baba wa huyo mama, babu yake, na ndugu wa kiume wa mwanamke (wajomba wa mtoto) hawapo (wamefariki) au hawana sifa za kisheria (kama vile si Waislamu au si wenye akili timamu
@ibrahimjuma48@TriciaAbou Wakasema licha ya kukatika uhisiano wa kisheria lakini uhusiano wa kibaolojia bado upo pili inaendana kinyume na maumbile na makusidio ya Sharia ya kiisalam.. wamewajibu hivyo madh hebu ya Shafii ambao wanaona unaweza kumuoa. Na Allaah ndie mjuzi zaidi
@ibrahimjuma48@TriciaAbou Kuhusu kumuoa mtoto wake kauli yenye nguvu na kauli ya ya wanachuoni wengi ni na ndo kauli ya sawa in sha Allaah ni kwamba hamuoi... wakitolea dalilii aya ya Allaah "Mmeharimishwa (kuwaoa) mama zenu, na binti zenu, na dada zenu..."
@twiiter_B@msouthherbs Kuna nyumba ya jiran yk vibaka ambao waislam na huna shaka na uislam wao, wameingia wakaiba wakauwa,wakaleta salam tukitoka hapa ni kwako.Pembeni yako kuna jiran yako John ana silaha ya kuweza kuwadhbiti ?Je inajuzu kumuomba msaada huyu John awapige/ kuwauwa hawa waislam wenzak
#TajiriLaKihaya
Tukiachana na mambo ya VITA VINAVYOENDELEA…
Tuongee KIDINI Kabisaa…
Ni KWA Nini MASHIA mnawaita sio WAISLAMU?
Na KWA Nini wanaruhusiwa kuhiji mecca 🕋 Yet mtu asiekua muislamu Aruhusiwi pale?
Hebu tuelimishane taratibu ndugu zangu waislamu… ELIMU HAINA MWISHO 💯
Nipo tayari kujifunza kitu kipya leo……
@Apty01@abulhusayn01 Hataki kukubali kama kafanya Istihzai.... sababu anajua jambo la istihizai linampeleka wapi muislam
"nafkiri" unafikiri kama nani kwenye dini? Huku ni kukosa adab ktk elimu kwa jambo ambalo lina ikhtilaf inayokubalika kisheria....Jazba zenu zinawafanya watu waiogope Da'awa.
@Asia_Zamah@AbuwSuhaylah Asia unasema ni kweli kwa 80% ... una maana si za kidini ni za kimila kweli....?? kwamba kuna kitu maalum kilichoekwa kwa ajili ya kutoa mahari?? Ada (urfu) ya mji ina nafasi gani katika sheria ya dini endapo haiendi kinyume na sheria?