Watu Kama Michongoma...
Kuna aina ya watu kwenye maisha yako, usipokuwa MKALI wa kuwawekea MIPAKA...
...wanaweza kuwa sababu ya KILIO na MAUMIVU yako, siku zote za maisha yako.
Yaani, watu hawa unapowaleta karibu nawe huwa wanafanya VITU...
Au kuleta MANENO ambayo yatakuwa sababu ya wewe kutofurahia maisha kamwe.
Jaribu kukumbuka, hauna mtu fulani ambaye kila ukiangalia changamoto zako...
...za kifedha/madeni lazima anahusika kwa namna fulani?
Yaani, kuna watu ambao ukitafakari ndio wamekuwa chanzo cha wewe kugombana na watu wako muhimu...
Au hata kujikuta kwenye kesi mbalimbali.
Hawa ndio “Watu Michongoma”.
Hekima ya maisha inakutaka uweze “kubalance” kati ya kumpenda mtu...
Na kutoruhusu awe chanzo cha matatizo ya mara kwa mara/ya kudumu kwenye maisha yako.
Usisahau, watu wengi wanaotuingiza kwenye matatizo ni...
Wale ambao tunawapenda na tunawapa nafasi.
Uwe na ujasiri wa KUJILINDA unapoona wanakuwa CHANZO cha MATATIZO yako kila wakati.
Kama umeipenda makala hii...
1. NIANDIKIE ulichojifunza kwenye comments kwa ufupi...
2. SHARE makala hii na mtu mmoja unayemjali...
Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia.
1. Kupitia Vitabu Vyangu Vya Kidigitali (SOFTCOPY/EBOOKS) tuma neno eBook kwenda WhatsApp +255 762 312 117
2. Vitabu Vyangu HALISI Vya Karatasi (HARDCOPY)
Piga +255 762 312 171 / +255 745 252 670
3. Mafunzo Kwa Njia Ya Video, KOZI.
Piga +255 762 312 117
4. Kupitia Exclusive MENTORSHIP
Piga +255 758 498 373
See You At The Top
Joel Arthur Nanauka
#TimizaMalengoYako #SeeYouAtTheTop #JoelNanauka
"Enyi mmchao Bwana, mtumainini Bwana; Yeye ni msaada wao na ngao yao."
Zaburi 115:11
Hallelujah, Tumtumanie Bwana Yesu Kristo yeye ni msaada na ngao tosha kwetu sisi, AMEN 🤲
The IDU calls for the immediate release of @ChademaTz Leader @TunduALissu by Tanzanian authorities.
His arrest is a blatant abuse from the ruling government that should be firmly condemned by the entire democratic international community.
Demanding free and fair elections is not “treason”!
#FreeTunduLissuNow #Tanzania
Mnaumiza, mnateka, mnapoteza na kuua watu. Mnapora chaguzi kwa mtutu wa bunduki. Watu wakiwa kimya hiyo ndiyo amani kwenu. Lakini watu wakilalamika mnasema ni wavuruga amani. Viongozi wa dini wakiungana kutetea na kudai mfumo wa haki mnawaita ni wachochezi. Shoka liko shinani!
Kuna watu ambao njia pekee ya wao kuendelea kuwa na nguvu juu yako ni kuhakikisha kuwa UNAPOTEZA kujiamini kwako.
Ili kufanikisha hili, watafanya vitu vitakavyosababisha upoteze hali ya KUJITEGEMEA KIHISIA.
Kila mtakapogombana, hawatataka kuweka suluhu mapema na watakugeuzia kibao ili UJIONE wewe ndio MKOSAJI kila wakati.
Ukiwagundua, jitahidi USIWAPE nafasi ya kucontrol hisia zako.
See You At The Top
Ukigundua njia uliyokuwa unaiendea sio sahihi, ukaamua kurudi kwenye njia sahihi, ukawa siriazi kweli kwa Mungu. Maisha yako lazima yabadilike na kuwa mtu mwingine kabisa.
Kulingana na Hali ya maisha ya sasa yanavyokwenda Kwa vijana na tunavoishi Tunamuhitaji Sana MWENYEZI MUNGU ndani yetu lakini si rahis kiivyo kwakua shetani yupo kazini.
Ruhusu Roho yako imkubali Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako.
https://t.co/vO5K6gONOO. #Bwana.
I'm back.
Chochote ambacho unakitegemea kikitikisika na wewe unatikisika, na yeyote ambaye unamtegemea akitikisika nawe unatikisika
Mungu ni wathamani kuliko vyote na ni thamani kuliko wote. Jiepushe na mtikisiko
Mtegemee Mungu..📌