Leo kitawaka mbaya kuanzia Sana 3:00 usiku nifollow Tu Mimi Tiktok ikifikika saa 3:00 utaona mjadara Rachel Dangwa ndani ya nyumba, Mange nae ndani ya nyumba.
Hapa hakikisha sauti ya simu yako inakuwa chini kwani GARI ikiwaka ni mwendo wa kumbakumba.
Sambaza Bango hili BONYEZA REPOST.
It would be better if you received pictures from both sides, before they were shot what were they doing? Is it the destruction of public property, public and private buses and local government centers being burned. Make sure you receive from both sides
Kubali maandamano yamebuma! Acha blah blah na kujitia moyo!
Tuliwaambia mtatapika hela za NED hamkuwa mnasikia!.. We si ulisema mnaandamana makanisani na hakuna Krismasi?
Sasa mambo ya weak when sgrong yanatoka wapi! ๐ค
Watu wamewakataa na hamtakaa mpange tena maandamano nchi hii yakafanyika na kufanikiwa
HAMNAGA AKILI KABISA ๐ฎ๐ฎ