@EddieKarangi@kafangi Sasa unasema luos are being used what of mutanga wenye wanasema gachagua must go sasa hao pia wanatumiwa na ruto. My friend fungua akili yako na utoe hiyo ujinga uko nayo nkt
President ili vitu zao zilipwe na mnaenda kulipa kama hamjui. So this guy should go hafai kuachiwa chance ya kutugovern or else tutaumia na akipewa chance atatake advantage na kutuumiza tena juu nikama wakenya wakilia ndio ni furaha yake so tustick na plan yetu ya #rutomustgo
Guys Ruto hafai kuachwa State House na hiyo ndio itakuwa the worst mistake tutafanya juu the damages ilihappen jana na those other days we are going to pay them dearly. There are some politicians who are after Rutos heart na mabiashara zao ziliharibiwa na wanaenda kutumia the