"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar.
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi.
Ndugu zenu wamejazana tz kibao wanavamilia ajira za walimu hususa Mashule ya private ya English medium, tunawalea wengine wamejaza sehemu za watalii, MNA thubutu kusema mtawapiga wa tz warudi kwao Mimi nitaanza na walimu waliopo kwenye centre yangu kwa sasa
"Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke, wasipoondoka tutawapiga na hatuogopi mtu."
Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar.
Raia wa Kenya, @bonifacemwangi akikataa kupisha msafara wa kiongozi ambaye hakufahamika mara moja. Amesema yeye hutoa njia kwa magari yanayobeba wagonjwa na zimamoto, na huwazuia wanasiasa na viongozi wengine wanaopenda kutumia ving'ora kukwepa foleni.
Ni rahisi kuchambua mapungufu ya #TaifaStars uwanjani lakini naomba tusilalamike sana. Hebu tutazame kikosi cha Senegal kisha tukitathmini na chetu. Wachezaji wao wapo Barcelona, Liverpool, Everton n.k. Ukiacha uwezo (skill) wenyewe, uzoefu (experience) na EXPOSURE ni kila kitu!
CAIRO: “Kila mtu ana haki ya kuamua ni Mtu wa wapi na mimi ni Muafrika kama wewe, Uingereza kuna baridi sana sawa lakini kuna ukosefu wa utu, ingawa tumefungwa lakini nimekaa na Watu walikuwa wana fujo wanashangilia">>> Niki (Bongo Zozo) #MillardAyoSPORTS 📹 via @ayotv_
Ndugu yangu unayesoma hii nakukumbusha kama una imani ya dini fulani basi hudhuria ibada iwe msikitini au kanisani iwe siku rasmi iliyopangwa au ibada za kawaida za kila siku. Usibaki imani jina tu, imani ni matendo na kufuata misingi ya unachokiamini.
Mungu ametutoa mbali sana. Tunajitahidi kuiishi Tanzania ya viwanda kwa vitendo kama hivi mwanawane. Naiacha hapa kwa namna moja au nyingine inaweza kukupa hamasa katika kazi zako na wewe.
"Dengue ipo wala tusijidanganye, Serikali iamue kabla haijawa kubwa zaidi, kuliko kutuambia ipo hakuna kinachofanyika, niliona clip kiongozi wa dini anasema haipo,wakati sisi tumepoteza watoto, wengine tunajikaza kwa sababu ya uzalendo ila mambo hayako sawa." - Abbas Tarimba