@Iam_Malunguja Sema shida culture ya stool inachukua muda sana 24 hours ingeleta majibu at least au toxin pannel za bacteria maan a kama sio bacterial infection per se inaweza kuwa ni toxins kutoka kwenye chakula zilizozalishwa na bacteria.(Mteja wako hajabugia maviporo mkuu🤣🤣🤣)
DOLF has reached a massive project milestone! We've begun removing participants' onchocercal nodules, which is the primary endpoint of our study. This minor surgery not only provides valuable data on the efficacy of moxidectin, but also allows our participants to live nodule-free
@ALugandu Wana fujo sana madereva wa rwanda siku moja jamaa alivuka mataa bila kuruhusiwa uzuri askari walikuwa njia opposite na gari lake wakamuona.Jamaa akajua amepona kumbe mapoti walienda mbele kule wakageuza wakamrudia bwana watu wakabaki kufurahia mwamba kashikika 🤣🤣🤣
In their recent Lesson from the Field article for International Health, Kazuki Shimizu et al recount the implementation and use of a mobile early warning system for disease outbreaks in areas of Sudan impacted by conflict.
Read more: https://t.co/wDRnZ06DuT
Four years on, we remember Dr Mwele Malecela.
Her belief in NTD elimination and women’s leadership was unwavering. Through the Mwele Malecela Mentorship Programme, her spirit continues to guide and inspire across Africa @WHOAFRO
Moving forward in her light. 🌍
#EndNTDs#MMM
Tangu nitoke mahabusu ya polisi leo ni siku ya 6 line yangu @VodacomTanzania haifanyi kazi.. Hakuna simu inayoingia wala mimi siwezi kupiga simu ikatoka, hata namba 100 ya huduma kwa wateja haitoki:
Nimekuja Voda shop kujua na wao wanasema hawaoni shida au nisubiri masaa 24.
Kuna uwezekano mkubwa yakawa yale ya ndugu yetu Erick.
Voda ni muhimu mkaniambia kuna tatizo gani.
Nimeweka kwenye public ili kila mtu ajue.
GIVEAWAY! 📕 We're giving away one hard copy of the brand new Despommier's Parasitic Diseases, Eighth Edition, textbook. Like this post, share to your page, and follow PWB. We'll pick one winner on Thursday, November 20th at noon EST US. Available to ship anywhere in the world.
DALALI anasema Tundu Lissu aachiwe haraka kama vile alikuwa hajui kinachoendelea kabla ya kushiriki uchaguzi haramu. DALALI hajawahi kufika Mahakamani au gerezani, baada ya kunyoshwa na CHAWA katika ubunge anakumbuka TAL yupo gerezani. Anawatikisa waajiri wake wamkumbuke.