SC Tundu Lissu amefunga utetezi wake baada ya Samia, Majaliwa, Mpango, DGIS, IGP, CDF & DCI kuingia mitini.
Kesi nzima imekuwa ni darasa huru la ubovu wa mfumo wetu uchaguzi, haki jinai na utawala.
We thank God & looking forward to his RELEASE!
Free Tundu Lissu!
Huwa ninawashangaa sana watu wanaokuja na hoja kuwa Chadema haiwezi kuunda serikali, haina watu wa kutosha na wenye uwezo wa ku~cover nafasi za uongozi wa serikali!!
Hii ni moja ya hoja dhaifu mnoooo!!
Nimekuja kugundua wapo watu wanajua CDM ni wale viongozi 8-12 tu wanaowaona front line kwa public mara kwa mara.
Ukiwaambia CDM ina viongozi zaidi ya 200 mtu anakushangaa.
Wengine wanadhani CDM ikiunda serikali itakuja na mapolisi wake na wanajeshi wake na viongozi wao,
kwahiyo wakiangalia idadi ya viongozi wa CDM wanaowajua wao, wanaona ni wachache kuliko nafasi za uongozi!
Na hapa ndo unagundua Mbogamboga wameharibu hii nchi kwa kuwafanya hadi viongozi wa taasisi za dola kuwa ni wanaCCM so hadi raia wanakariri mfumo na kuamini CDM nao inabidi waje na IGP wao na mkuu wao wa majeshi mwanachadema!!
Huwezi kusema CDM haiwezi kutoa baraza la mawaziri 28, na manaibu 28, na maRC 31, maDC 139,wakurugenzi 184 etc, wakati chama kina members 2M+ ndani na nje ya nchi!!
Hoja mfu!!
Najiuliza
Kama Katuga Ameweza Kujua
Faragha za Kikao cha Baraza kuu CDM
Faragha Kati ya Heche & Viongoz wa CDM na Odinga wakiw Kenya
Recept za magali Ya Heche
Risit Malipo ya Hotel Heche akiw Dubai
Kuna Ugumu Gan Kwa GVT Kujua Alipo
Polepole Mdude Soka?
KATIKA kosa la KIMKAKATI ambalo MFUMO ulifanya ni KUMKAMATA na Kumshitaki Lisu! WHICHEVER the outcome ya kesi yake, hata AKIFUNGWA, bado atakuwa mshindi wa juu sana KISIASA. Revolution ideas or democracy can't be stopped by prison's walls or sniper's bullets.
Haya ndio maumivu yetu, Ahsanteni mnayoyawakilisha kama yalivyo………
Ndio maana tunakuwa bongo tukiona waliolishwa asali wanatuambia tuwe na huruma na tuwe soft kwa waliotuua….
Tunataka accountability sio ku move on……..
HATUTAKI MARIDHIANO KABLA YA ACCOUNTABILITY, NA YOYOTE ATAKAETUPELEKA KWENYE MARIDHIANO KABLA YA DAMU ZA NDUGU ZETU KUPATA HAKI HUYO NI ADUI WA WATANGANYIKAA!!!!!!!!
HAKUNAAAAAAA!!!!!
Nadhani @godbless_lema anapaswa kuendelea kuelewa kwamba, Wananchi wameaanza kuhama kwenye Siasa za Ushabiki na sasa wameanza kusimama na yeyote atakae simama nao.
CHADEMA inaendelea kuungwa Mkono kwasababu ya kusimama na watu. Na yeyote atakae enda kinyume na Umma atapuuzwa.
Mtu hajawahi Fanya harakati yoyote, Hajawahi isaidia CHADEMA kwa lolote.
Huyo huyo Mtu hajui uhusiano baina ya WANAHARAKATI na CHADEMA.
Then anadharau status ya Wanaharakati ndani ya CHADEMA.
Mimi ndio maana huwa nasema Tanganyika tuna wajinga wengi sana.
Nchi inaenda kukombolewa siku sio nyingi.
Tumevuka kipengele kigumu kabisa cha kuamini kuwa kwenye CHAMA bila watu fulani basi hatuwezi kusomga mbele.
Utakuwa ni maiti kuamini watanzania MILIONI 70 wote unaweza kuwapigia siasa zako za masaji na soseji.
Ndiomaana tumezika VYAMA shikizi vyote nchini na sasa chama cha siasa ni kimoja tuu (CDM) kipo kazini kinapambana na DOLA.
Ushindi UNAKUJA.🫵🏾
Uwezi kuwakuta vijana wa CCM wanasema chochote positive kwa Balozi Nchimbi, ila Leo kwa Lema yamejitokez Kama manyuki ya mashine
Na huu upendo kwa CDM Sijui wametoa wap
Lissu alikuachia chama HUJAMUANGUSHA.
Lissu alikuweka kama shahidi wake HUJAMUANGUSHA.
Kipindi chote zaidi ya siku 600 umeongoza CHAMA kwa shida sana ila umebaki imara, tunaomba usikate tamaa sisi TUNAKUAMINI shikilia hapo hapo.
HIKI CHAMA NI MPANGO WA MUNGU NA WEWE MAKAMU HECHE NA LISSU NDIO MARUBANI WETU.
TUTAVUKA HAPA NA HAYA YOTE YATABAKI STORY, PIGA KAZI MAKAMU.