@255JrLiko@vistovic17@husseinmsafi Wakawaida ndio maana wakitajwa wachezaji 5 overwhole hatajwi maana wanaangalia statistics mzee baba. Nadhan ata top 10 atakuwa ata wa 10 huko
@Sativa255 Vijana wa hivyo. Kwan hamjui kuwa huwa hao wanasaidia watu wengi ndani na nje ya nchi. Unawezakukuta Kuna jamaa mkubwa huko amemchangia gari kama zawadi
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Kuna kitu kinanipa mashaka kwa Tundu Lisu aliwai ulizwa uchaguzi 2020 kuhusu mapenzi ya jinsia moja yeye akasema zile ni faragha za watu. Alafu leo unasema Lisu ana ajenda za Mungu napata ukakasi kama bado anasema tusingilie faragha za watu.