@1960Remija Sema Yanga bwana,Simba wamesajili dirisha dogo kuna kitu wameongeza na wamebadilika ,ila wanashauliwa sijui nini.wewe unaanza kusuka timu upya hujui sajili zako ni turufu au garasa
@1960Remija Nakumbuka coca cola walikuwa wanafanya promotion ya soda zao kanda ya ziwa wakiwa na gari lao,kuna Dj wao aliitwa Alikoko.unakaa uwanjani jua kali unapata nyimbo huzo
@HabiibYahyaa Nenda pale kichangani uone timbwili walilokuwa wanamfanyia,huyu ilikuwa lazima wamle nyama watu wanasema inakuaje anakuwa wa mkoa na pia ni sheikh wa hapa,wazee wa ule msikiti mapanga yako juu.ila waumini wanakuambia sisi tukk na Walid