Mwanamume unaamini mwanamke akisoma anakuwa tatizo kwenye mahusiano, ‘hatawaliki’ na ataishia kuwa msimbe.
Kwa nini sasa unasomesha watoto wa kike? Unawaandaa kuachika?
Haya. Umeoa asiyesoma. Unamtawala kifikra kama unavyotaka. Lakini mbona yakijitokeza matatizo, unasema tatizo ni uelewa wake mdogo, kukosa exposure, na hivyo unapata shida sana kuendana naye kiufahamu.
Bado hujagundua tatizo ni udhaifu wa mwanaume?
Kizazi cha wanaume dhaifu hupambana na mafanikio ya wanawake —matokeo ni kizazi cha wanawake wasio na imani na ‘uanaume’ wao.
Kizazi hiki kikiukabili udhaifu wake, kikajifunza uongozi, kikajifunza kusimama kwenye nafasi yake, huzalisha wanawake wasio na haja ya ‘kushindana’ nao.
Wanaume wa kizazi hiki tuna kazi kubwa ya kupambana na insecurities zinazotuaminisha kuwa matatizo yetu yanatokana na kujitambua kwa wanawake. Tukijitambua tukapambana na unyonge unaotutafuna chini kwa chini hatutaogopa wanawake wenye mafanikio.
Kenyatta University erupted in vibrant celebrations as students and staff gathered at the main campus to welcome and honor Professor John Okumu following his official confirmation as the university's substantive Vice-Chancellor.
The newly appointed VC was visibly emotional during his address, overwhelmed by the immense outpouring of song and support from the university community.
@MkulimaKante AI nimesoma mimi mwaka 2006 wakati nikiwa chuo mwaka wa 3 mkuu sema mchelewa kujua huku kijijini kwenu hesabu zake zilikuwa una mbuzi chui majani na mtumbwi vipi utaanza navyo kuvuka
My dear young brother Emanuel Nchimbi, makamu wa Rais, UTAHUKUMIWA na Historia siku moja. Nimeona milio na MIGUNO toka kwa Vibaka na Machawa uchwara, lakini HAKUNA ubaya kukumbushia utekelezaji wa Ilani ya Chama Chako! Be strong, the storms is coming...a strong one
Wanangu on my view huyu jamaa @Sativa255 nimejuana naye hapa X na kama miaka mitano 5 sasa....il la hatujawahi kukutana face to face, kitu anachokifanya kwenye Jamie wazeee n massive movement ukiangalia dhoruba alizopitia nusu kufa na akarudi stronger na bado anaishi na msimamo wake uleule aseeee jamaa anahitaji heshima ndo hivyo bongo wana tabia ya kumchukulia mtu poa sana 🙌🙌