Hapa kidogo lazima ushangae, kwasababu hawa watu hawafanani madai na ukiangalia hoja zao hazina nia ya kumaliza tatizo na kubwa ni kwasababu ni BIASHARA kwao hivyo haitakiwi kuleta hasara:
Hoja za Mange:
1. Katiba Mpya itolewe kwanza.
2. Tundu Lissu aachiwe huru kwanza.
3. Bunge livunjwe na uchaguzi mpya ufanyike kabla ya 2030.
Hoja za Maria:
1. Kuachiwa huru Tundu Lissu na wafungwa wa kisiasa.
2. CCM iondoke madarakani (“CCM Must Go”).
3. Kukomesha utekaji na kuwaachia huru wote wanaodaiwa kutekwa.
4. Kuundwa kwa serikali ya mpito na kuandikwa Katiba Mpya.
5. “Uhuru wa Tanganyika” (hoja inayojitokeza mara kwa mara kwenye ujumbe wake).
6. Kurejeshwa kwa heshima na haki za wananchi.
7. Kushughulikia kupanda kwa gharama za maisha na bei za mafuta.
8. Kufanyika uchaguzi mpya.
9. Uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu vifo na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwenye haya madai, hawa hawatafuti suluhu bali wanataka kuwe na Mapinduzi ya serikali. Hapa hii si siasa. Haya sasa maboss zao wanachotaka ni tofauti na wao. Kwa maana wakiwa huko wanaongea tofauti wakija nje huku online.
Wananchi wa Rwinga na Wilaya ya Namtumbo kwa ujumla wanatarajia kunufaika na ujenzi wa Lory Parking utakaotekelezwa hivi karibuni, hatua inayolenga kuongeza fursa za biashara, ajira na kukuza uchumi wa eneo hilo.