Yanga Sc na Power Dynmos Fc wamekubaliana ada ya uamisho wa mshambuliaji Kennedy Musonda jioni ya Leo, kilichobaki Yanga kulipa ili kuvunja mtakataba.
Dynamos imetoa baraka kwa mshambuliaji huyo kusafiri hadi Dar es salaam kujiunga na mabingwa wa muda wote nchini Tanzania.
Mkuu wa mkoa wa mwanza Adamu Malima akifafanuwa jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo juu ya tathimini ya COVIDI19 kwa Wanahabari, yaliyofadhiliwa na #InternewsTanzania#USAID#fhi360 .