Wewe sio Gaidi... wewe ni kiongozi bora Tanzania, Afrika na Duniani. Tuliopita mikononi mwako tunajua. Busara zako, bidiii na kujituma katika kazi, mapenzi yako kwa nchi yetu, utu na upendo wako havipimiki...Tutakupigania, tutakutetea na Utarudi imara na utawashangaza✌✌
Serikali iliyokosa Majority of the Voting Power,iliyojiteuwa badala ya kuchaguliwa,inahamasisha kulipa kodi halafu wanatumia kodi hiyo kuwatesa wapinzani,kujilipa posho na mishahara mikubwa halafu miradi ya serikali inafanywa kwa pesa za mkopo.Tunataka katiba mpya wagalatia nyie.
Sirro ulinipa kesi ya madawa kwa sababu nimewashtaki kwa kujiona mko juu sheria kwa vyeo vyenu,Najua ukaribu wa RCO wa MBY na wewe ulitokana na nini mpaka ukampa hicho cheo na ukamtumia kunitengenezea kesi,nikawashinda,Leo umetuhakikishia una ushahidi wa ugaidi wa Mbowe let's go.
Mimi nisie na tuhuma, nafahamika.... nilitekwa nilipokuwa napelekwa kwangu kwaajili ya kukagua nilifungwa pingu na gari lilikua na polisi zaidi ya 10 wenye silaha na nilikaa chini... viongozi wetu walisafirishwa kwenda Dar wamefungwa macho na mikono...acheni kusema uongo.
WATZ TUAMKE
👉🏾Kitu pekee kitakachoweza kuleta MABADILIKO ya kweli ya kimfumo kwa manufaa ya wananchi wote ni #KatibaMpyaKatibayaWananchi
👉🏾Kila Mtz mwanamke, mwanaume wa umri wowote, hata uwe Sheikh au Askofu unapaswa kudai SASA #KatibaMpyaKatibayaWananchi
Ni Kawaida wakati wa Vita Watu Kuwa na Panic,Jaziba na hasira au lawama wakati mwingine ila Ili Kushinda vita panahitajika nidhamu na Utulivu wa hali ya Juu.
Kwa bahati nzuri vyote vinaashiria nia njema ya Kupambana na Kumshinda adui
Wakati huu tunahitajiana kuliko mnavyofikiri