Panapokuwa na makundi mawili yanayopingana Jambo la muhimu kudhamiria kufungua Mijadala kuyatatua! -Twendeni Mezani Wa Tanzania tukubaliane pamoja! Mathayo 5:9
@IAMartin_@yosepherfkomba Kaka, good, but a friendly question. Haukai mbali na hili Jimbo jeupe na lenye tabasamu maridhawa? Kama inafikia msemo wa 'too much is harmful'