Kuna sisi ambao hatupendwi, hawatuweki Status wala kutuombea yaliyo mema.
ila wakikwama wanatucheki kinafiki sms mingiiii eti tumeadimika ๐๐๐๐๐๐
Na sisi hatuna nongwa fresh tu tunawasaidia wanapita hiv.. na LIFE linasongaโ
Kama CHAMA, SAKHO na MORRISON watakuwa kwenye ubora wao kwa asilimia 100 tutashida Goli 16
ikiwa asilimia 56 tutashinda 8
Ikiwa asilimia 48 tutashinda 6
Ikiwa asilimia 30 tutashinda 3
Ikiwa asilimia 10 tutashinda 2
Unaweza ukaamka tu siku moja asubuhi ukajikuta una miaka 40, au 47, au 54 au hata 66 yote yanawezakana๐
Sasa nataka kusema nn.. Upya wa ujira na Nyakati upo katika nguvu na Maarifa.
#Akilimtuwangu๐
Kuna nyie rafiki zetu ambao mnatupenda na kutujari kuliko hata ndugu zetu au wapenzi wetu.
Mnatuogopesha Kwan hatujui mnataka nafasi gan kwenye mioyo yetu.. Ipo sku tutawapa nafasi tuone mnatustahili kwa namna gan, Nasema IPO SIKU.๐๐