@zoetjesheeftX Huniambii kitu kipindi hicho kukosa xxl mchana humo ndani kuna segment ya entertainment chini ya dj fetty mzee baba ni๐ฅ๐ฅ๐ฅsasahivi naona redio nyingi hamna kitu vichwa vimeshikiliwa na Gavo
#HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, anatarajiwa kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya mama mzazi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli yatakayofanyika Mei 29, 2026 mkoani Geita.
Serikali na viongozi mbalimbali wa kitaifa wanatarajiwa kushiriki katika shughuli hiyo ya kuaga.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela, amesema viongozi wengine watakaohudhuria mazishi hayo ni pamoja na Makamu wa Rais mstaafu Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu mstaafu Kassim Majaliwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira.
Amesema maandalizi yote ya mazishi yanaendelea vizuri huku wananchi wengi wakitarajiwa kushiriki kutoa heshima zao za mwisho.
Mama mzazi wa Hayati Dkt. John Magufuli, Bi. Suzana Magufuli, alifariki dunia jioni ya Jumatatu Mei 25, 2026 nyumbani kwake Chato mkoani Geita.
Kifo chake kimeibua salamu za pole kutoka kwa viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa pamoja na wananchi ndani na nje ya mkoa huo.
#EastAfricaTV
Kwa uchumi wa sasa, unaweza kuamka asubuhi ukajiona una pesa za kutosha kama hiviโฆ sasa pitia sokoni, shell halafu ingia bar kidogo, ukirudi home unajiuliza hela imeenda wapi aiseeh!!
Tatizo sio pesa ila tu, ni maisha yanaenda kasi sana.
Huyu ni sativa๐
1. MWANAHARAKATI WA HAKI ZA BINADAMU.
2. MCHEZA KAMALI.
3. SPORTS CONTENTS CREATOR.
Kazi zote 3 lazima nizifanye kila siku. Na hizi kazi zangu zinahusisha mahusiano na watu. Hakuna mahali napwaya kama ROBOT.
Wewe unanifuatilia angle Ipi?๐ซต๐พ