2004 mpaka leo zimepita siku nyingi maelfu ya watu na mamilioni wamezaliwa
Leo hii kijana kutoka greatlondon bukayo saka temidayo anaenda kuandika historia mpya ambazo mtu kama RVP ,SANCHEZ walishindwa kufanya wakiwa arsenal
🗣2026 ARSENAL BINGWA WA EPL📌
Ukiachana na yote hiki kipindi soka letu lilikuwa gizani sana kwa huu wakati.
Just imagine hakuna scouting, hakuna trial alafu mtu anaingia uwanjani kucheza ball.
Costal Union hapa walitudanganya kivipi Alikiba awe Mchezaji na hafanyi mazoezi au waliangalia ball control.
Declan Rice: “Today wasn’t just about playing nice football, sometimes it comes down to your heart, desire & how much you want to win a game of football. In the end, over the two ties, I think we deserved it.” [CBS]