Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, na Kulitaja bure jina la Mungu Wangu. (Mithali 30:8-9)
Kipindi kigumu hakimaanishi maisha yako ni mabaya. Wakati mwingine ni sehemu ya safari inayokufanya uwe imara zaidi, mwenye hekima zaidi na tayari kwa kilicho mbele, Usikate tamaa.