Sifuna hana chama. Akalaunch chama
Sifuna hana pesa. Akachangiwa
Ni mtu wa pombe. Ikamuongezea points
Hawezi jaza na Western pekee. Akaenda Wamunyoro kuongeza za Central.
Them: "He has lost my respect"
Mchunge hii chai muarubaine mnakunywa daily msijiharieππππ