Sam Mugumya huyo picha ni mwanaharakati na mwanasiasa wa Uganda, alikuwa msaidizi wa karibu wa Dkt. Kizza Besigye. Aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Youth League ya FDC na alikuwa miongoni mwa wahusika wa harakati za Walk to Work
Alizaliwa mwaka 1979 Rukungiri, Uganda na alisoma Political Science katika Chuo cha Makerere akahitimu mwaka 2006
Mwaka 2014 alikamatwa nchini DRC na kuwekwa kwenye gereza la kijeshi la Ndolo kwa takribani miaka 8 kabla ya kuachiwa Oktoba 21, 2022
Mwaka 2025, Mugumya alitoweka tena Mbarara kwa kutekwa na watu wasiojulikana. Mamlaka za Uganda zilikanusha kumshikilia, huku Mahakama ikiagiza Serikali kumleta au kueleza alipo na kama anakosa ashitakiwe na awajibishwe kwa mjibu wa sheria
Agosti 2026, picha na video zilisambaa mitandaoni zikimuonyesha akiwa hai lakini katika hali ya kudhoofika sana na amepitia mateso makubwa hawezi hata kusimama. Leo pia zimevuja video zikumuonyesha alivyoteswa na kukonda vibaya mno hawezi hata kutembea
Wakati huo huo, aliyekuwa boss wake Dkt. Kizza Besigye ambae ni mpinzani mkuuu wa Museveni yuko gerezani kwa siku 683 tangu kukamatwa kwake Nairobi tarehe 16 Novemba 2024, akikabiliwa na mashtaka ya uhaini
Watu wengi wanamhukumu mama amina kwa sababu alishiriki kwenye kampeni za ccm ila mnapaswa kuelewa masikini hana kiapo alafupia nyie wenyewe mnajua kabisa huyu dishi kama halipo sawa hivi.🥹
🚨💣 BREAKING: Cristiano Ronaldo announces he has LEFT PORTUGAL NATIONAL TEAM CAMP. 🇵🇹
“After the National Team coach’s press conference, and following a conversation with the President of the Portuguese Football Federation, I have decided to leave the National Team training camp”.
“In due time, I will tell all Portuguese people the truth about the reasons that led to my departure from the national team, to which I have always dedicated myself”.
“Now is the time to wish good luck to Portugal and to all my teammates”.