@SimbaSCTanzania Zee la ovyoo linashindwa ipambania timu ipate ubingwa wa ligi misimu mitano hamna kombe linawaza wachezaji wa Yanga dah kweli Elimu muhimu Simba ina viongozi wa ovyoo sanaa
@YoungAfricansSC Shida ni kocha hana mbinu timu inacheza out of formation no pressing ,no transition ,kiti pekee alichonacho ni counter attack duh kwa kocha huyu Yanga kutoboa ni ngumu