@ze_mandevu Sio kila anaetembelea Gari ukadhani ana furaha wengine wanalia ndani ya gari kwa Mateso wanayopitia.
Ishi kulingana na hali yako Mungu yupo na anakupa kwa wakati.
@JamiiForums Nilienda kwenye semina flani hivi ya Afya ilipofika Lunch nikasikia Afisa lishe akakague chakula kama kweli kina Makundi saba. Akarudi akasema Mboga na matunda hakuna.
Kiongozi akasema Jamani tule hatuna Jinsi.
Unapokula chakula hakijatimia hata Nutrients hazitimii.
Psychologist wakiangalia vizuri sura za Viongozi wetu ni kama Battery π ya Ukweli ipo 15% na Battery π ya Uongo iko 99%.
Na sasa Hadi Raia ni Psychologist even though hana Gamba.