@1960Remija Hawana uwezo wa kucheza ligi yoyote kubwa nyingine hapa tu Afrika ndio maana unawaona Tanzania ukimtoa mayele... quality ya wachezaji wengi wanaoshindana nao kwa hapa ndani ipo chini sana ndio maana wanaonekana bora
Tanzania kuna mitume wengi kushinda hata idadi ya mitume kwenye Biblia takatifu ya Agano la kale na Agano jipya...Mpaka kuna rais wa Mitume yupo Tanzania..