@NaineZurka@Roynwachineke @Herewe_go1 For the "NO" option to WIN,both of the outcomes must not happen.
For the "YES" option to WIN, one the prediction either draw or cleansheet has to occur.
@Sirjeff_D Sio tu kuwa na rais wa mwisho kutoka zanzibar hata huo muungano uishe warudi kwao, haina maana wao wapewe uwezo wa kumiliki ardhi huku af sisi tusiwe na uwezo huo huko kwao
HABARI PICHA:
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kubaini ukweli wa madai hayo
Amesema โNi kweli tunawashikilia viongozi hawa pamoja na wanachama wengine watatu wa chama, wanatuhumiwa kuchochea machafuko ya umma kwa kuandaa maandamano, ni miongoni mwa watu 17 tuliowashikilia katika kipindi chote cha kampeni za uchaguzi,โ alisema Kamanda Chatanda.
Imeelezwa viongozi hao wanadaiwa kuhusika katika kuhamasisha wafuasi wa chama hicho kushiriki maandamano yaliyopangwa kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini.
Aidha, Kamanda Chatanda amesema hatua zaidi zitachukuliwa mara baada ya uchunguzi kukamilika. Jeshi hilo pia limewataka wananchi kuwa watulivu na kufuata sheria wakati wa kipindi hiki cha kisiasa