Mwanaume: Ukiwa katika nafasi ambayo unaweza kumpunguzia ugumu wa maisha mwanaume mwenzako hata kwa buku tu fanya hivyo. Unaweza kudhani unamsaidia mtu mmoja kumbe kuna kundi la watu kadhaa nyuma wataweka chochote kitu tumboni kwa buku yako.
Pesa ina tabia ya kuja na kuondoka, ukifanikiwa kuishika kwenye hizi nchi zetu za kimaskini, wala mtu asikudanganye, jenga kibanda chako, ipo siku kitakufaa sana kwenye nyakati ngumu.
🚨💣 BREAKING: Alexander Isak to Liverpool, here we go! Deal agreed now for £130m transfer fee. Record move for Premier League.
Isak, on his way today for medical tests as new Liverpool player after long term deal agreed months ago.
It was always ONLY Liverpool for Isak.
Kijana mwenzangu usijisikie vibaya ukahisi umechelewa, kila mtu ana njia yake na muda wake. Ishi kwenye muda na njia yako, wakati wako wa kupata ajira, wa kuanzisha familia, wa biashara yako kustawi na kufanikiwa upo na unakuja. Endelea kupambana na mtegee MUNGU daima.
Ukimuomba MUNGU akachelewa kujibu haimaanishi kuwa amekataa ombi lako. Mungu hafanyi kazi kwa muda wako, bali kwa mchakato wa mabadiliko yako. Ulichomuomba kinakuja, lakini kitafika utakapokuwa tayari kweli kukibeba. Endelea kuwa mwaminifu kwake, endelea kumshukuru kwa yote.
Never feel ashamed of your religion. It is not merely a personal belief but a profound part of your identity.
Wherever you go, let it serve as both a symbol of introduction and a badge of honour reflecting your values, principles, and the integrity you carry with you.
In a world that often pressures individuals to conform or hide aspects of their identity, standing confidently in your faith is an act of strength and dignity.
Let it guide your actions, shape your character, and speak on your behalf even before you do.
By 30, no one cares if you are handsome or beautiful.
They care if you are broke, rich or you lack direction.
Beauty retires. Success enters the room.
Wealth is the new charm.
Status is the new style.
Kijana mwenzangu haijalishi unatokea familia gani, haijalishi baba yako alikuwa nani, haijalishi ulizaliwa wapi, haijalishi ulianguka mara ngapi. Ota ndoto kubwa, fanya kazi kwa bidiii, muombe na mtegemee MUNGU daima. Chini ya jua kila jambo linawezekana.
Mvulana anakuwa mwanaume Kupitia maumivu, Kushindwa, Kukataliwa, Kupoteza, Kudharauliwa, Mapambano ya maisha, na Kuvunjwa moyo Sio kadri umri unavyoongezeka
Jinsi ya kujiheshimu mwenyewe
1. Acha kutafuta asiyekutafuta
2. Watu wanapokudharau usivumilie dharau, Wakabili mara moja
3. Fanya kazi kwa bidii kuwa busy na malengo yako
4. Heshimu wakati wako
5. Usikae kwenye mahusiano ambayo haujisikii kuthaminiwa
6. Tunza afya yako