Kama kijana, hakikisha una vitu hivi
1. TIN namba (Mamlaka ya Mapato)
2. Bima ya Afya (Huduma za afya)
3. Namba ya NIDA (Kitambulisho cha Taifa)
4. Akaunti ya Benki
5. Leseni ya Udereva
6. Pasi ya Kusafiria
7. Mkataba wa Ajira (Usalama wa kazi na haki zako)
Kipo hauna hapo?
Mwanasheria alimuuzia mwalimu kisima baada ya Siku mbili yule mwanasheria akarudi tena kwa mwalimu na kumwambia
โBwana, nilikuuzia kisima, lakini sio maji yaliyomo ndani! Kama unataka kutumia maji, utalazimika kulipa tena zaidi".
Mwalimu akatabasamu na kumjibu Ndio, nilikuwa njiani kukuona. Nilikuwa nakuja kukwambia utoe maji yako kwenye kisima changu, la sivyo kuanzia kesho utaanza kulipa kodi.
Mwanasheria aliposikia hayo, akatetemeka na kusema "Ah, nilikuwa natania tu!โ
Mwalimu akacheka na kusema, "Hivi ndivyo watu kama nyinyi mnavyokuja kuwa mawakili baada ya kusoma kwetu sisi.
๐๐ง๐ฒ๐๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ฎ ๐๐๐ค๐จ ๐๐ฐ๐ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐
Tarehe 14โ16 Agosti pale Mlimani City, Mashariki Creative Economy Expo 2025 inakupa jukwaa la kukutana na wanunuzi, wawekezaji na washirika kutoka Afrika Mashariki na nchi mbali mbali
Kwanini ushiriki haya maonesho?
1. Fursa za kipekee za biashara na mitandao ya kitaalamu
2. Nafasi ya kutangaza bidhaa na kuongeza mwonekano
3. Madarasa na matukio maalum ya kukuza ujuzi
๐ Usikose! Jisajili sasa https://t.co/H82iHL8HCr
#MasharikiExpo25
๐๐๐ฌ๐ ๐๐๐ข๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐ข ๐๐ฎ๐ฐ๐ ๐๐๐ฒ๐จ ๐๐ง๐๐ญ๐๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐๐ฃ๐ฎ๐ ๐๐ฎ๐ข๐ญ๐ฎ๐ง๐ณ๐, ๐๐ฎ๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฐ๐ ๐๐ค๐ข๐ฅ๐ข, ๐๐ ๐๐ฎ๐ข๐ค๐ฎ๐ณ๐
Wajasiriamali wengi hukwama si kwa kukosa mitaji, bali kwa kukosa elimu ya usimamizi wa fedha.
@softfinancetz hawakupi mkopo tu. Wanakupa pia maarifa ya usimamizi wa fedha
1. Jinsi ya kutunza rekodi zako
2. Kuweka kipaumbele kwenye matumizi
3. Kurejesha mkopo bila presha
Usiache pesa ipite mikononi bila mpango.
๐ Tembelea ofisi zetu Makumbusho stendi au Tandika
๐ 0678 000 800 | 0679 000 900
#MpangoPesa
Rasmi @Aviator_SPRIBE wameidhinisha rasmi: Ushindi mkubwa zaidi Afrika umetokea @betPawaTZ
TZS 2.9B kwa raundi moja washindi 3, nchi 3, ndoto 3 zilizotimia!
Jaribu bahati yako leo ๐ https://t.co/4le69aBbqs
#betPawaBIGWinners