@mreno255 Oya hii najua hamna atakaekwambia ila nina uhakika asilimia 80%. Punguza kula wanga hasa ugali na wali. Ikibidi acha kabisa hata week mbili halafu urudi hapa kunipa pesa ya soda
Itakuchukua miaka 7 na miezi 2 hadi 3 kutengeneza Dola 1 kama utakuwa unatengeneza shilingi 1 kwa siku. Na hapo ni kama dola itabaki kwenye thamani yake ya saivi ๐ค!
@gembesimon3@mafolebaraka Sio kweli mzee, wapo Wabongo wengi tu wanapata comments zaidi ya hizo, mfano huyu hapa. Halafu pia idadi ya wanaija waliopo mtandaoni ni zaidi ya mara 4 ya wa Tz.. So haiwezekani kuwa na usawa
@joshuasultanPT True Kuna kampuni ya wazungu nafanya kazi tulianza na majirani walikuwa almost the same number na Wabongo, ila majirani walianza kuondolewa 1by1 wengi kazi yao ilikuwa ni kujionyesha how wao ni better kuliko watz but Watz wanapiga mzigo kimyakimya tumebaki Wabongo na nchi nyingne
@anuskills3 Mzee labda we ni mgeni kwenye issue ya huyo dada.. Alishachangiwa sana hadi na Rais/Makamu sijui sikumbuki halafu hela kaenda kununulia mzigo China sijui Dubai. Na huyo dada amekuwa constantly akija mitandaoni kulia shida hadi watu washamchoka.
@chapo255 ๐ ๐ Dogo anakwambia yeye ana talent kubwa sana na Diamond alikuwa anaogopa kumtoa ili asimfunike. Imagine msanii bado hujawa hata introduced tayari una mindset kama hiyo. Angepata tu hit song moja Diamond angekoma aisee
@StevenGojo@salim_alkhasas@LarryMadowo ๐ ๐ Unanichekesha..eti Kenya is the best. Ukizungumzia kuua kuna nchi ambayo inaua zaidi ya Kenya? Si nimekutumia hadi mfano hapo!? Au unataka nikutumie mingine.. Kaangalie documentary ya Blood Parliament
@StevenGojo@salim_alkhasas@LarryMadowo Sijasema kwetu vitu vipo perfect, but Kenya is a wrong example kutufananisha nao. Hiyo nchi haipo stable hata kidogo na wanataka tuwe sawa na wao. Mnachosifu eti kw sbb wana uhuru wa kumtukana yeyote. What kind of freedom is that?