@Advocate_Jebra Angel uni DAI nilitoka machozi siku unaadithia mambo yaliyo kukuta sikuwa na pesa nilisongesha utape kufanyia chochote.. umeumwa mwaka mzima uku weza kufa baada ya kwenda kutibiwa ndio umekufa ... RIP ila tutajua ukwel
@lifeofmshaba Angel Sina deni na ww nilitoa mchango wangu mdogo baada ya kulia nilivyo sikia video yako Bora tungeendelea kukichangia .. pumzika Kwa aman mtoto wangu
@MariaSTsehai Kama mama yake angejua Bora angeacha kumpeleka huko akatumia misaada yetu ya kumchangia nakumbuka nililia machiz maafa ya kuona ile video na kumsongeshea kidogo nilicho nacho