Rais @SuluhuSamia,
@GekulPauline asiishie kuvuliwa unaibu waziri tu. HAITOSHI. DCI aagize RPC na RCO wa Manyara, JAMBAZI PAULINE afunguliwe mashtaka ya JINAI. Hatuwezi kuwa na mwanamke KATILI uraiani, anayeweza KUTEKA, KUTESA na hata KUMUINGIZIA binadamu chupa makalioni. 💔
MADARASA YA NYASI-TUSHUKURU MUNGU WALIMU HAWAVUTI SIGARA...!
Picha: Shule ya Msingi Magomeni Wilayani Tunduru ambayo baadhi ya madarasa yake ni ya nyasi.
Gazeti la Nipashe limeripoti kuwa baada ya wao kuanza kufuatilia suala hilo, DED na DC wameamrisha madarasa hayo yabomolewe ili kuiepusha Halmashauri na aibu ya madarasa ya nyasi.
Miaka 60 ya uhuru mnakuwa na upungufu wa madarasa hadi mnatengeneza madarasa ya nyasi kama vibanda vya Waganga...?
Kumbe tukiyaanika wanayabomoa fasta,Wanajua yanatia aibu.
Dawa yao ni kuposti wayabomoa yote. SHENZI SANAAAA
Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ukipita katika barabara za lami zilizojengwa kisasa zaidi. Unateleleza tu. Hakika, Tanzania ya sasa inapendeza na kung’ara. Watanzania tumeridhika. Kidumu chama cha mapinduzi. #MamaYukoKazini#MitanoTena#RoyalTour 👍
Ni kwanini MawinguFM (@CloudsMediaLiv) wamefuta hii tweet ya Bashite kuvamia ofisi zao March 2017?
Je, ni Bashite kawatisha tena au…!?🤷🏻♂️
#RIPRuge “Ugopa Mungu na teknolojia”
Udhaifu na Ubovu wa MKATABA wa IGA, HAUPONYWI kwa kusaini MIKATABA ya HGA au KUWAALIKA KILAGHAI viongozi wa DINI kuja KUSHUHUDIA utiaji saini wa MIKATABA hiyo.
Putin: "Magharibi wanataka kuingiza nchi na watu wengine katika migogoro, ili kuanzisha wimbi la machafuko na chuki ya pande zote sio tu katika Mashariki ya Kati, lakini pia hata nje ya mipaka yake. Kwa kusudi hili, wanajaribu pia kucheza hisia za kitaifa na kidini za watu.
Sera hii imetekelezwa kwa muda mrefu. Waislamu wanachuana na Wayahudi, Washia wanachuana na Wasunni, Waorthodoksi dhidi ya Wakatoliki. Huko Ukraine,wanaelekea kupiga marufuku Kanisa la Orthodox na kuimarisha mgawanyiko wa kanisa. Kusudi la vitendo ni dhahiri: kuongeza ukosefu wa utulivu ulimwenguni."
"Gawanya na utawale." Nchi za Magharibi ziko tayari kuitumbukiza dunia katika vita na machafuko ili kudumisha uwezo wake juu yake. Kwa wazi, kuna hatari kubwa ya kuongezeka kwa vita vya nyuklia duniani kote ambapo hakutakuwa na washindi. Magharibi inatembea kwenye ukingo wa kisu.
Leo tarehe 2 Oktoba 2023 Kwa niaba ya JAMES WILLIAM SIJE, niliiomba Mahakama Kuu ya Tanzania Mwanza ili Maombi Madogo ya Jinai Namba 28/2023 YASIKILIZWE kwenye MAHAKAMA YA WAZI (Open Court) ili mambo yote yawe HADHARANI. Sifa Kuu ya HAKI ni KUONEKANA IKITENDEKA.
Ya nini kutakalamu,
Kwa jambo lisilokuwa,
Utahadhari na mwiko,
Wakati wa kupakua,
Ukitaraji makoko,
Chungu utakitoboa.
Muhogo wa Jang'ombe,
Sijauramba mwiko,
Usitukane wakunga,
Na uzazi ungaliko.
Kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu (Masters and PhDs), jaribu kuingia kwenye hii website ya Dr. Salim Salim iliyozinduliwa juzi kisha soma documents zilizowekwa kwenye kipengele cha Publications pamoja na zile zilizopo kwenye Notes and Correspondence. Kuna mengi sana ya kujifunza.
https://t.co/uhgRLuv6Uo
Serikali ya CCM inatupimia kila kitu.
Umeme tunapimiwa,
Maji tunapimiwa,
Mafuta tunapimiwa,
Dollar tunapimiwa,
Uhuru wa mawazo tunapimiwa,
Taarifa tunapimiwa,
Katiba Mpya tunapimiwa,
Bima tunapimiwa.