Klabu ya Simba imemtangaza ABDELHAK BENCHIKHA kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Robert Oliveira ‘Robertinho’ aliyeoneshwa mlango wa kutokea.
Benchikha (60) raia wa Algeria aliiongoza USM Alger kuwaa kombe la Shirikisho Afrika kwa faida ya magoli ya ugenini dhidi ya Young Africans SC kwenye fainali.
Benchikha pia aliiongoza USM Alger kutwaa CAF Super Cup kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo baada ya kuifunga Al Ahly 1-0 kabla ya kujiuzulu nafasi yake klabuni hapo mnamo Oktoba 9, 2023.
#KitengeSports
@ReaganMichael5@mzeewakaliua Taasisi kama haina wataalam je
Feitt ni mtaalam wa mpira hata akalishwe hadi mkataba uishe bila hata mazoezi analipwa tu na atafika tu alipokusudia Yanga ni timu inayojiamini bila mtazamo wa mbele
@Mwasomola_JR@IAMartin_ Kweli kabisa Chief Hakuna nchi yenye au iliyopiga hatua ki mwinyi mwinyi Katika bara la Afrika Magufuli alipeleka watu pazuri Ila kwa mwehu hawezi kujua hilo
@IAMartin_@fatma_karume Upo duniani au Ahera Kuzimu? Hakuna kiongozi atakaye kuwa mwema kwetu hata siku moja Kaumu zote sita zina ukichaa wake na uzuri wake
@WilliamsRuto MUNGU AKUONGOZE
FANYA KAZI YA KUWATUMIKIA WANANCHI WAKO
USILIPIZE KISASI KWA WANAFIKI WA DEMOKRASIA RAILA NA KINYATA
JENGA KENYA UPYA
FIKIRIA KUONDOA UFISADI
FIKIRIA KUONDOA MAISHA MAGUMU YA WAKENYA WAKK
@WilliamsRuto Ruto upo sahihi binafsi nimefurahi kwa kuwa najua Raila amelaaniwa tokea kusaka uhuru Pili Rais Kinyata ni mnafiki wa kutupwa kwani haijui historia ya Kenya na uhuru wake MUNGU AWE NAWE RUTO