@a_madembwe Hawo siyo wafanyabiashara, wameshiba muda si mrefu biashara hiyo haitakuwa kama ilivyo sasa. Wakumbushe kuwa hapo zamani wauza Sambusa walikuwa wanalinga kama wao saiz wanatembeza mpaka Bar
@Sirajitz1 Ha ha ha kama ni kweli basi huyo Chama angewahi kuwa mfungaji bora. Kama takwimu bora za chama hazijawahi kuzidi takwimu bifa za Aziz K basi mtoe chama
@Masoya87@RevocatusMagum1 Jamaa huwa kinajitoa ufahamu sana, kuna mwamuzi alipewa Onyo kwa kutoa kadi nyekundi kwa mchezaj wa Namungo bila kosa lolote, Arajiga akifungiwa kimy kimy kwa kuwabeba Simba Vs Mashujaa
@RevocatusMagum1@ahmed__ally kuna wakati anakuwa kama PIMBI tu, atwambie msika kibendera pale Zenj alifungiwa kwa kosa gani?? Arajiga alifungiwa, Aliyekataa penat za Singida alifungiwa, aliyetoa kadi nyekundu kwa mchezaj wa Namung bila sababu alifungiwa...Hivyo asituone sisi Hamnazo.
@MacAlpho@Iamfelixtz Ni ukweli kwa mjinga kamaa wewe, lakini kwa mwenye akili hawez kumuelewa. Hivi mnajua hata FA mkishinda leo mnacheza na Coastal?? Je ipi rahisi kwenu kat ya coastal na Singida?? Aucho kama ni mipango hata akiwepo anawez kuifanya vzr kuliko kuwa na Red
@mgimba_israel@ShaymarShahame3@Iamfelixtz Wajjinga hawawez kuwaza kama wewe umetumia akili nyingi. Wao wanakurupuka tu....kama ni mipango bora awepo ili acheze chini ya kiwango. Shida ya
MAKOLO kazi kuombea Yanga afungwe ili wawe mabingwa wakat wenyewe walishindwa kuifunga
@ShaymarShahame3@Iamfelixtz Ujinga huu unausikia kwa mashabiki wajinga wajinga tu, kama mipango hata angekuwepo angeweza kuifanya tu siyo lazima awe na nyekundu.